Kinachoendelea Simba Hata Eng Hersi wa Yanga Kinamuumiza

Eng Hersi Said
Eng Hersi Said

Rais wa klabu ya Yanga na mwenyekiti wa vilabu Barani Africa (ACA) Eng Hersi Said wakati anazungumza kuhusu (Mfumo wa mabadiliko wa klabu) kama sehemu ya Agenda ya mkutano huo

Eng Hersi ametumia baadhi ya video za mashabiki wa Simba sc ambao wamekua hawafurahishwi na mwenendo wa klabu ya Simba hususani viongozi wao ambao wamekua chanzo cha migogoro ndani ya klabu hiyo.

Eng Hersi ameelezea pia changamoto za baadhi ya vilabu barani Africa ni kutokuwepo kwa wadhamini wa kutosha mashabiki kutokujitokeza viwanjani pamoja na kutokua na uchumi imara wa vilabu huku tatizo kubwa likiwa kwenye masuala ya kiuongozi

Related Posts