Nature

Klabu ya Chelsea Yatinga Hatua ya Fainali ya Michuano ya Kombe la Dunia la Klabu

Klabu ya Chelsea imetinga hatua ya fainali ya michuano ya Kombe la Dunia la klabu inayoendelea nchini Marekani.

Chelsea imetinga hatua hiyo baada ya kuitandika Fluminense mabao 2-0.

Hata hivyo, nusu fainali ya pili itacheza leo kati ya PSG na Real Madrid mchezo utakaochezwa saa 4:00 Usiku, kumtafuta mshindi atakayecheza dhidi ya Chelsea

Related Posts

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *