Kocha Gamondi Mbioni Kutimkia Simba

Inaelezwa kuwa klabu ya Simba imefikia makubaliano ya Kimaandishi na kocha wa @singidablackstars Miguel Gamondi kama Kocha Mkuu wa @simbasctanzania ..

Gamondi kwasasa anafanya utaratibu wa kumalizana na @singidablackstars ili baada ya michuano ya AFCON kumalizika moja kwa moja atajiunga na @simbasctanzania na tayari Gamondi amewaeleza baadhi ya wachezaji wa Simba waliopo Timu ya Taifa .

Lakini pia Mchambuzi @hansrafael14 amesema kuwa baada ya kuondoka kwa Fadlu Simba walikuwa katika hatua za Mwisho kumpata Gamondi na kwa bahati mbaya dili hilo likavuja kabla ya kusaini…

Related Posts