Nature

Kocha wa Yanga SC Romain Folz Amkubali Mchezaji Kouma

Kocha wa Yanga SC Romain Folz amevutiwa sana na kipaji cha mchezaji wake Kouma,

Licha ya ugeni wa Kouma kwenye kikosi cha Yanga SC,

Lakini mchezaji huyo ameonesha performance nzuri Mazoezini pamoja na kwenye mechi iliopita ya kirafiki dhidi ya Rayon sports,

Kouma ni mchezaji mwenye talent kubwa sana,
Skills kubwa pia ya kucheza mpira,

It’s a matter of time 👏

Lakini huyu jamaa ni play maker mzuri sana uwanjani,

Ni mwepesi na ana speed sana uwanjani
Ni full charge player 🙌

Ngoja Romain Folz amalizie kuunganisha mitambo yake vizuri pale jangwani,

Hakika Kouma atafanya vizuri sana na Yanga SC 🙌

Related Posts