Kuna Timu Kileleni Inakaa Saa 24 tu Kama Status za Whatsapp

Kuna Timu Kileleni Inakaa Saa 24 tu Kama Status za Whatsapp
Kuna Timu Kileleni Inakaa Saa 24 tu Kama Status za Whatsapp

Allan Okello ametangazwa kuwa nyota wa mchezo kati ya Young Africans dhidi ya Wauaji wa Kusini, Namungo FC katika dimba la KMC Complex akiiandikia Wananchi mabao mawili kwenye ushindi wa 3-1.

Nyota huyo raia wa Uganda amefikisha mchango wa magoli 18 mpaka sasa kwenye Ligi kuu ya soka ya NBC Tanzania bara akifunga mabao 11 na kutoa asisti 7 tangu atue klabuni hapo Januari, 2026.

FT: Yanga SC 3-1 Namungo FC
⚽ 26’ Abuya
⚽ 52’ Okello
⚽ 85’ Okello
⚽ 40’ Kabunda

MSIMAMO NBCPL πŸ”2️⃣
1. Yanga SC β€” mechi 25 β€” pointi 60
2. Simba SC β€” mechi 25 β€” pointi 58

Related Posts