Leo hii kutana na Richard ambaye alikuwa kijana mwenye umri wa miaka 24, mkazi wa Kijiji cha Mabogini, Moshi. Maisha yake yalizunguka sana kilimo cha mpunga na migomba, kazi iliyohitaji jasho jingi lakini ilitoa mavuno kidogo. Tofauti na wenzao, Richard alikuwa na shauku moja ya ajabu: Ligi Kuu ya Hispania, maarufu kama La Liga.
Kila usiku, Richard alibaki macho, akifuatilia mechi za Real Madrid, Barcelona, na Atlético Madrid kwenye televisheni ndogo iliyopatikana kwenye kibanda cha ‘Mama Pili’. Soka kwake haikuwa burudani tu, bali somo la hisabati na takwimu.
Alisoma kila ripoti, alichambua mwenendo wa wachezaji na makocha, na kujua historia ya mechi za ana kwa ana kuliko wachambuzi wengi.
Siku moja, Richard alichukua uamuzi mzito. Aliuza mavuno kidogo ya mpunga aliyohifadhi na kutumia kiasi hicho kama mtaji wa kuanza safari yake ya utabiri. Wenzake kijijini walimcheka, wakimuona anapoteza muda wake na rasilimali. “Richard, unabeti na timu za ‘wazungu’ wakati unajua hali ya mpunga wako!” walisema.
Richard hakuwajibu, alijua thamani ya maarifa yake. Alianza kwa kufanya utabiri mdogo, akitumia utaalamu wake wa hali ya juu kuchambua mechi zijazo. Utabiri wake haukuwa wa kubahatisha; ulijengwa juu ya data ngumu. Alikagua Expected Goals (xG), possession rate, na defensive errors za kila timu. Soma zaidi hapa

