“Kwani Hao Wa Nje Ni Watamu Kutushinda? Mbna Wanaume Mnafanya Hivo?” Kenyan Lady Breaks Down into Tears As She Tearfully Narrates

Fatuma Juma, mkazi wa Mombasa, alikuwa amezoea maisha ya upweke kwa karibu miaka mitatu baada ya mume wake kumwacha bila maelezo. Kila siku alijikuta akijiuliza ni wapi alikosea katika ndoa yao iliyodumu kwa miaka saba kabla ya matatizo kuanza.

Kwa mujibu wa Fatuma, mume wake alianza kubadilika ghafla. Alianza kuchelewa kurudi nyumbani, mawasiliano yakapungua na..SOMA ZAIDI

Related Posts