Mahakama Yaamuru WAKAZI Amlipe Baba Levo Milioni 100

Mahakama Yaamuru WAKAZI Amlipe Baba Levo Milioni 100
Mahakama Yaamuru WAKAZI Amlipe Baba Levo Milioni 100

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemhukumu Webiro Wasira (Wakazi) kumlipa fidia ya Tsh. Milioni 100 Msanii na Mbunge wa Kigoma Mjini, Clayton Revocatus Chipando (Baba Levo).

Kwa mujibu wa nyaraka iliyochapishwa na Baba Levo, ni kuwa hukumu hiyo imetolewa Machi 13, 2026, ambapo Mahakama ilibaini kuwa taarifa zilizosambazwa na Wakazi dhidi ya mlalamikaji zilikuwa za uongo na zenye kumdhalilisha, na ziliathiri sifa yake katika shughuli za biashara pamoja na tasnia ya muziki ndani na nje ya Tanzania.

Related Posts