Martha Mwaipaja Atangaza Kuacha Kuimba Mziki wa Injili

Martha Mwaipaja Atangaza Kuacha Kuimba Mziki wa Injili
Martha Mwaipaja Atangaza Kuacha Kuimba Mziki wa Injili

Mwimbaji wa nyimbo za injili nchini Tanzania Martha Mwaipaja ametangaza kuacha kuimba kwa muda usiojulikana, hii ni mara baada ya sakata linaloendelea baina yake na muimbaji mwenzake wa nyimbo za Upendo Nkone.

Kupitia ukarasa wa Instagram amepost video hii na kuandika “kwa sasa limestone kuimba Moyo wangu uko vibaya sana mpaka pale nitakaa sawa haijalishi itachukua miaka mingapi, Mungu awabariki sana”

Related Posts