Nature

Mchezaji Faisal Agoma Kusign Mkataba Mpya Azam

KIMEUMANA TENA😳
FEISAL AMEGOMA KUONGEZA MKATABA MPYA AZAM FC AMEKUBALI KUCHEZA SIMBA✅

Namba 6 Bora ,mzawa na maarufu Tanzania amekubali kusainib mkataba wa miaka miwili kuitumikia klabu ya Simba SC na hilo linathibitishwa kabisa.✅

Fei Toto ameuambia uongozi wa Azam fc kuwa hatoweza kusaini mkataba mpya kwaajili ya kuitumikia klabu hiyo tena amesema tayari ameshafanya maamuzi wake.✅

Feisal Anataka kuwa sehemu ya project ya kocha Fadlu Davids na lengo kubwa yeye ni kucheza Ligi ya Mabingwa Afrika akiwa na wekundu wa Msimbazi Simba.✅

🛑Masharti binafsi ambayo aliyakoa yamekubalika✅

🛑 Project ya Simba imemvutia✅

Sasa kilicho baki ni kwa Simba kufanya mazungumzo na kufikia makubaliano na Azam fc au Feisal atafute njia nzuri ya kuvunja mkataba wake na Azam fc kwa amani yasije yakatokea kama Yale ambayo yalitokea YANGA.🙌🙌

Mambo yanazidi kupamba moto⏳

Related Posts