Klabu ya Yanga imekamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji, Lassine Kouma raia wa Mali kutoka klabu ya Stade Malien.
Kouma ametambulishwa Yanga leo Julai 25, 2025 na kupewa jezi namba 8 aliyokuwa akitumia kiungo Mganda, Khalid Aucho ambaye ametimka klabuni hapo.

