Mechi za hatua ya Makundi AFCON 2025 kwa upande wa Tanzania zitachezwa ndani ya siku 7 [ Dec 23 – Dec 30]
◾️Jumanne Dec 23
Nigeria 🇳🇬 v Tanzania 🇹🇿
Uwanja , Stade de Fes uliopo katika Mji wa Fes/Fez na unaingizaa mashabiki 45,000 walioketi
◾️Jumanne Dec 30
Tanzania 🇹🇿 v Tunisia 🇹🇳
Uwanja , Prince Moulay Abdellah upo Jijini Rabat na unabeba mashabiki 65,000 walioketi
◾️Jumamosi Dec 27
Uganda 🇺🇬 v Tanzania 🇹🇿
Uwanja ,Al Medina jina lingine Al Barid uwanja upo Jiji la Rabat na unabeba mashabiki 18,000 walioketi
Note : Bado siku 6 mashindano yaanze
