Kwa miaka nane, maisha yangu yalizunguka neno moja tu subira. Niliolewa nikiwa na matumaini makubwa ya kuwa mama mapema, kama wanawake wengi. Mwaka wa kwanza ulipita, wa pili pia, nikijifariji kwamba labda ni wakati tu. Lakini kadri miaka ilivyoongezeka, shinikizo nalo liliongezeka.
Kila sherehe ya mtoto wa mtu ilinifanya nijifungie chumbani na kulia kimya kimya.
Nilizunguka hospitali nyingi. Vipimo vilifanyika mara kwa mara, majibu yalikuwa yale yale: “Hakuna tatizo kubwa.” Maneno hayo yaliuma zaidi kuliko majibu mabaya, kwa sababu hayakunipa suluhisho. Soma zaidi hapa
