Nature

Mpeni Pacome Tuzo Yake ya “MVP” Haraka Sana

Haraka sana mpeni Pacome tuzo yake ya MVP,siku zote nasema mpira ni sanaa ambayo inakamilishwa na msanii mzuri,Pacome ni msanii special kutoka mbinguni.

Kwanza ana ujuzi wa Ku-dribble mpira kwa degree 95,kitu ambacho kinamfanya kupenya kati kati ya msitu,pili ana nguvu na akili ya kufanya mambo yatokee.

Hakuna mchezaji wa Simba ambae anatamani tena kukutana na Pacome,kwani kucheza dhidi yake ni kihama.

Mchezaji mkubwa anaamua mechi kubwa,leo Pacome kaamua ubingwa wa NBC,penalty ya viwango “cool as u like” na assist ya “La Pausa”

Mpeni Pacome tuzo yake ya “MVP” haraka sana✍️

Related Posts

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *