Mrisho Gambo Achukua Fomu Kutetea Ubunge Arusha Mjini

Aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mrisho Gambo Mrisho Gambo amejiunga rasmi kwenye mchakato wa kuwania tena nafasi hiyo kwa kuchukua fomu ya kugombea ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini.

Gambo ameliongoza Jimbo la Arusha Mjini kama Mbunge kwa miaka mitano kuanzia 2020 hadi 2025 ambapo kabla ya hapo alikuwa Mkuu wa Mkoa Arusha na Mkuu wa Wilaya ya Arusha pia.

Related Posts

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *