
Msanii wa Bongo Flava Diamond Platnumz Ameendeleza Ubabe Katika Suala La Muziki Mara Baada ya Nyimbo Zake Kushika nafasi za juu kwenye majukwaa makubwa ya kidigitali..
Nyimbo zake mpya Ikiwemo Msumari na Nani Zimempandisha Chatting za juu Kabisa Huku akiendelea Kuonesha ubabe wake katika muziki wa Afrika Kwa mara nyingine Tena…
Diamond ameshika nafasi ya kwanza na ya pili kwenye majukwaa mengi jambo linalodhihirisha mapokezi makubwa kutoka kwa mashabiki duniani.
Takwimu za Majukwaa:
YouTube: 1️⃣ Msumari | 2️⃣ Nani
Audiomack: 1️⃣ Nani | 2️⃣ Msumari
Apple Music: 1️⃣ Msumari | 2️⃣ Nani
Hali hii imeonekana mashabiki wanasema Diamond ameamua kushindana na nafsi yake kwani kila jukwaa linaonyesha nyimbo zake mbili juu mfululizo….

