zawadi kwa timu zitakazofanya vizuri zaidi kuanzia Bingwa,Mshindi wa Pili , Mshindi wa tatu na mshindi wa nne
▪️Bingwa __ Dola Milioni 50
Hii ni sawa na Bilioni 122 za kitanzania [ Tsh ]
▪️Mshindi wa Pili__Dola Milioni 33
Hii ni sawa na Bilioni 81 za Kitanzania [ Tsh ]
▪️Mshindi wa Tatu___Dola Milioni 29
Hii ni sawa na Bilioni 71 za Kitanzania [ Tsh ]
▪️Mshindi wa Nne___Dola Milioni 27
Hii ni sawa na Bilioni 66 Za Kitanzania [ Tsh ]
NB : Bingwa wa 2022 kwenye fainali zilizofanyika Qatar alipata Dola Milioni 42 za Kimarekani sawa na Bilioni 103 za kitanzania
Bingwa wa Komne la Dunia 2018 kwenye Fainali zilizofanyika Russia alipata Dola Milioni 40 sawa na Bilioni 98 za Kitanzania
