Mtangazaji Zungu amewataka viongozi wa Yanga SC pia kuvichangia Vyama vingine kwa sababu timu hiyo sio ya CCM ni ya Wananchi hii ni mara baada ya kuichangia CCM milioni 100
“Klabu ya Wananchi ili isigawe wananchi
wahakikishe wanachangia vyama vyote vya siasa, sio lazima ifike milioni 100 lakini angalau kubalance mambo coz Yanga ni klabu ya Wananchi na sio kila mwananchi ni CCM!!
Yani Chadema wakiita tone kwa tone Wananchi msituangushe, Act nasikia soon wataanza harambee na wao basi tunategemea lifanyike jambo ndugu zangu wa Yanga
Wananchi hawawezi kuwa na double standard kesho eeeh si wameamua Watachangia Chaumma na Caf kuchangia na Nccr nao wana jambo lao soon!! ” Ameandika @officialzungu_ kutoka Matejoo
