Chama Cha Mapinduzi(CCM) kimemteua Mtoto wa Rais wa awamu ya tano Hayati John Pombe Magufuli Magufuli, Jessica Magufuli ( @jesca.jmagufuli ) na Wagombea wengine 30 kugombea Ubunge Viti Maalum kupitia kundi la UVCCM
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla ametangaza majina hayo leo July 29,2025.

