Murtaza Mangungu 🗣.”Okello tulifanya jitihada mwanzoni mwa msimu ila tulipoona ana mkataba wa zaidi ya mwaka ikawa ni vigumu sisi kuvunja mkataba ule, ila kuna watu huwa wanaangalia sisi tumemchagua mchezaji gani kwa mahitaji yetu na wao wanakurupuka kumchukua ama wanapamba wampate.”
Mwenyekiti wa Simba SC Murtaza Mangungu akizungumza kuhusu suala la Simba kushindwa kumsajili Allan Okello.
