Bondia #HassanMwakinyo akubali pambano na #TwahaKiduku huku akiahidi kumtibia tatizo lake la Macho kabla au baada ya Pambano lao kumalizikia.
Kupitia ukurasa wake wa instagram Mwakinyo ameamjibu Twaha kwa Kuandika…
Bondia kutoka morogoro pambano lake na dula mbabe alilipwa million 30 na gari crown used na ndio hela pekee nyingi kuipata kwenye maisha yake ya ngumi. Ambapo miaka 7 nyuma crown Mimi nilikua naweka mbwa kuwapeleka kuoga Raskazone beach. sikua na kitu wakati huo lakini bado siku chukulia ni gari ambayo napaswa kufanya tambiko la kuzunguka mkoa mzima.
Point ya msingi ni kwamba ofa uliyo taka wewe million 50 ambayo unalilia kuikosa kwenye pambano la mimi na wewe ni hela Ambayo sikumbuki mara ya mwisho ni lini nimepigania hio hela mimi ni professional high level kutofautisha na nyie pili ni mfanya biashara sio nipige ni kale kama nyie tamaa yako ya kuona $ 6000 ni hela nyingi rusia ulihama uzito na ndio imefanya Leo ukifanya mahojiano macho yako yana kutana. kama mwakitara akinyonywa chuchu.
Bado ulihitaji kufanyiwa operation ya macho macho yako mabovu tunajua utapata 50 M unazo taka na operation yako ya macho nitaisimamia mimi kabla au baada ya fight your time is coming ⚔️” – #Mwakinyo
