Jean-Jacques Ndala Mwamuzi kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ndiye atakayechesesha fainali ya AFCON 2025 kati ya Senegal na Morocco.
Ndala pia alichezesha mechi ya ufunguzi kati ya Morocco na Comoros.
Set ya waamuzi ni pamoja na
- Mwamuzi: ๐จ๐ฉ Jean Ndala
- Wasaidizi :๐จ๐ฉ Guylain Ngila & ๐จ๐ฉ Mwanya Mobilize
- Mwamuzi wa nne: ๐ฟ๐ฆ Abongile Tom
- VAR: ๐ฐ๐ฒ Styven Moyo
Ndala amechezesha mechi nyingi za kimataifa, ikiwemo mechi za kufuzu kwa Kombe la Dunia na mashindano ya CAF Champions League. Hii itakuwa fainali yake ya nne ya AFCON
