Jina langu ni Asha. Mimi ni mama wa watoto watatu na ninaishi katika mji wa Tabora. Kuna kipindi katika maisha yangu nilipitia hali ambayo ilinifanya nikose usingizi kwa miezi kadhaa kwa sababu ya mwanangu wa mwisho.
Mtoto wangu alikuwa na umri wa karibu mwaka mmoja tu wakati tatizo hilo lilipoanza.
Kila usiku, karibu saa sita au saa saba za usiku, mtoto alianza…SOMA ZAIDI
