Nature

Mzize Huyoo Kitimkia Klabu ya Espérance Sportive de Tunis ya Tunisia

𝗧𝗥𝗔𝗡𝗦𝗙𝗘𝗥 𝗡𝗘𝗪𝗦 ✅️✅️

Klabu ya Espérance Sportive de Tunis ya Tunisia imetuma ofa kwaajili ya kumnasa mshambuliaji, Clement Mzize (28), kwaajili ya kuelekea msimu wa 2025-2026.

Naelezwa kuwa Yanga wamekataa ofa ya $600,000 iliyotolewa na Al Masry ya nchini Misri, naelezwa tena kuwa Yanga wapo tayari kupokea $800,000 hadi $900,000 kwa klabu zinazomuitaji Mzize, Esperance inatajwa kuwa kwenye ushindani mkali na Al Sadd SC ya Qatar katika kuwania saini ya Mzize

Related Posts