
Baada ya hali kuwa mbaya kwenye kikosi hicho cha Yangasc ambacho kipo chini ya Romain Folz mabosi wameamua kurudisha mpira kwa kipa
Taarifa za kuaminika kutoka ndani ya kikosi hicho zinaeleza kwamba uongozi wa Yangasc umeanza mchakato wa kutafuta mwalimu mpya ambaye atakuja kuchukua nafasi ya Romain Folz
Na tayari wameanza kupokea maombi mengi kikosi humo lakini uongozi tageti yao ni makocha wawili ambao wote kwa muda tofauti walipita kikosi hicho
👉Nasreddine Nabi ambaye kwa sasa hana timu na yupo nchini
👉Sead Ramović, na taarifa zinaeleza kwamba uongozi umempendekeza kocha Side kama chaguo la kwanza
Hii ni kutokana na ubora wake mkubwa wa kupandisha morali ya upambanaji kwenye timu huku falsafa yake ya gusa achia twende kwao ndicho wakitakacho uongozi
Hivyo uongozi tayari wameanza mazungumzo na kocha huyo na kuna mahali tayari wamefika kuanzia j3 taarifa rasmi itatolewa na uongozi.

