Niffer Afunguka Kwa Mara ya Pili Kuhusu Kuachana na Mume Wake OG

YAAN NAJUA HII VIDEO MY FAMILY WILL BE MAD BUT NO.

Hili suala lazima mjue kwann nililelete hapa!
Ni mm niliwaletea huyu mtu kwa mara ya kwanza mtandaon 28/10/2023 ! Acc yake ikiwa na follower 550, nikawatambulisha biashara yake, nikasafiri nae nchi tofaut kibiashara, nikatengeza base ya uaminifu kwake,Mkajua na mkamuamini through me.

Alipopata matatizo akafunga duka, nn mm nilikuja kwenu kuwaomba mumsupport upya, nikafungua duka lake mwenyewe ni nikawa naaka mwenyewe nawauzia macover na sim na matangazo juu i hope mnakumbuka, i did my best for you guys to trust him again maana hata mm niliamin ni matatizo tu huwa yanaisha kuibiwa kupo.

Waliowah pata changamoto kwake wapo waliokua wananitafta mm na wanajua nilikua nasaidia vipi🙌 na hapo skua nmeenda gerezan nilkua na uhuru wangu!

So ni lazimaaaa lazimaaaa niwaambie kua am not close to him so if you deal with him deal nae kama wewe!! Mm msije dukani kwangu na vurugu na kuniweka kwenye post mnazompost sponser adds na mimi mkaniweka NOO.

Hayo yote yalikua yanatokea sababu mnahis mm niko close na huyu mtu bado. Na yeye ndo aliwaonesha bado yuko close na mm wakat niko gerezani, na mm skua na sim kule kwamba ningewambia no guys am no longer with this person ikiwa mm nilikua nshakaa zangu kimya kitamboooo!! Na kibinadam baada ya kutoka gerezani i believed maybe some things have changed but nooo…!! Na hata siamin nimepata ujasiri wa kugasema haya leo🙌

I am protecting my name, bussiness and so on!
Kama hujawah vaa viatu vyangu usiongeee kitu!! Mpaka siku ukivivaa then talk!

I LOVED BEING A WIFE, BUT I WAS NOT DESPERATE TO BE A WIFE , THATS WHY WHEN I SAW THINGS NOT GOING IN THE RIGHT DIRECTION ESPECIALLY NA OTHER PEOPLE INCLUDED THEN NIKAMUAMINI MUNGU NA KUSONGA MBELE.

I believe as long as we are alive the guy still has a chance to do better!! In life he will meet new people and explore new lifestyles ! And the same goes to me.

Na wote mnaaona kama nimekosa shukran, nenda wewe 🙌 niwatakie kila la kheri ndugu zangu.

NILIWAH MUULIZA, INGEKUA MIMI NI WEWE NA WEWE NA MM UKO KWENYE NAFAS YANGU, JE UNGENICHAGUA KILA MARA KAMA AMBAVO MM NIMEENDELEA KUKUCHAGUA REGADLESS YA YOTE HAYA?

Related Posts