Mwaka mpya ulipofika, nilihisi nimebakia sifuri. Likizo ya sikukuu ilinimaliza kifedha, nilipoteza akiba yangu yote na hata hakukuwa na zile shilingi za dharura.
Nilikaa nikitazama kalenda, nikijua kuwa wiki ya kwanza ya Januari ilikuwa muhimu malipo ya shule, madeni madogo, na gharama za nyumbani vilikuwa vinanitegemea. Nilihisi kama mwaka mpya ungeanza kwa msongo wa mawazo na huzuni.
Nilijaribu njia za kawaida: kuomba mkopo, kuomba kazi za muda, na kuuza vitu vya nyumbani. Lakini kila jaribio lilikuwa dogo na lisilo na matokeo ya haraka. Nilihisi nguvu yangu ikipungua, na kila jioni usiku usingizi haukuja. Soma zaidi hapa
