Nilipoolewa nilijua Maisha Yangu Yangekuwa Ya Furaha Na Upendo, Lakini Nilishangaa Kuona Baada Ya Miaka Miwili Ndoa Yangu Ilianza Kubadilika kwa Sababu Moja. Kila Mara Tulipoenda Sherehe Za Kifamilia, Maswali Yalikuwa Ni Yale Yale, “Basi Watoto Lini?”
Mwanzoni Nilikuwa Nachukulia Swali Hili Kwa Utani, Lakini Kadri Miaka Ilivyozidi Kusonga, Swali Hili Lilianza Kuwa Kama Kisu Moyoni Mwangu. Nilianza kuogopa hata Kuhudhuria mikusanyiko ya kijamii Kwa Sababu Nilijua Mazungumzo Yangenilenga.
Hospitali ya Nilitembebea Nying, Nikipimwa Kila Mara. Madaktari Waliniambia Mwali Wangu Uko Sawa, Lakini Walikauri niwe na Uvumilivu na Niache Kufikiria Sana. LAKINI KILA MWEZI NILIPOONA HEDHI YANGU INARUDI NILIJISIKIA NIMEVUNJIKA MOYO.
Nilianza kula dawa za homoni, Nilijaribu hata Kubadinisha Mlo Wangu, Lakini Hakuna Kilichokuwa Kinabadilika. Hali Ilianza Kuathiri Ndoa Yangu; Mume Wangu Alianza Kurudi Nyumbani Akiwa Amekasirika, Mazungumzo Yetu Yakapungua Na Kulikuwa Na Ukimya Mzito Kila Mara. Nilihisi Kama Ndoa Yangu Ilikuwa Inazama Taratibu. Endelea kusoma zaidi hapa

