Siku hiyo niliamka mapema kama kawaida, nikaoga na kujiandaa kwenda kazini bila kujua kuwa ingetakuwa siku ya mwisho. Nilipofika ofisini, nilikaa chini na kuitwa kwa haraka.
Maneno machache tu yakabadilisha maisha yangu: “Huduma zako hazihitajiki tena.” Hakukuwa na onyo, hakuna huruma, hakuna hata muda wa kujiandaa.
Nilirudi nyumbani nikiwa nimechanganyikiwa. Nilikuwa na kodi ya miezi miwili nyuma, watoto walihitaji karo, na simu yangu ilikuwa tayari imejaa madeni.
Jioni hiyo hiyo mwenye nyumba alinipigia akaniambia wazi kuwa kama sitapata pesa, nitatoka nje ya nyumba ndani ya siku chache. Hapo ndipo moyo wangu ulipoanguka kabisa. Usiku huo sikulala.
Nilikaa nikitazama dari nikijiuliza nitawaambia nini watoto wangu asubuhi. Nilijaribu kuomba kazi kwa marafiki, nikatuma CV kila mahali, nikajaribu hata kazi za mkono lakini hakuna kilichofunguka.
Kila mahali niligonga mlango, ulikuwa umefungwa. Siku ya pili, rafiki mmoja wa zamani alinipigia. Aliposikia hali niliyokuwa nayo, alinishauri nisimame kwanza, nitulie, na kutafuta msaada wa watu waliokuwa wamesaidia wengi waliokwama kama mimi.Soma Zaidi.
