Siku Moja Nilipoamka Asubuhi, Maisha Yangu Yalibadilika Kabisa. Nilipojaribu kunuka kutoka kitandani nilihisi mguu wangu wa kushoto hauna nguvu. Nilipojaribu Kuinua MKono Wangu Pia UlillUwa Mzito Kana Kwamba Si Wangu.
Nilishindwa Hata Kusema Vizuri, Maneno Yangu Yalitoka Yakiwa Yamevurugika. WatU wa Familia Yangu Walihisi Haraka Kwamba Nilikuwa Nimepatwa na Kiharusi. Wakanikimbiza Hospitali ya Huku Mimi nikiwa Sijui Kama nitaishi au nitakufa siku ile.
Daktari Aliniambia Wazi Kuwa Nilikuwa Nimepata Kiharusi Kilichosababishwa na Shinikizo la Damu na Msongo Wa Mawazo Uliokuwa Umenitesa Kwa Muda Mrefu. Nilihisi Dunia imenipiga Kisogo.
Nilikuwa Nimepooza Nusu Ya Mwili Wangu, na Nilihisi Mateso Ya Ajabu Kila Nilipojaribu Kusogea. Nilikuwa Nimezoea Kuwa Mtu Mwenye Nguvu, Nafanya Kazi, Nashughulika na Familia, Lakini Ghafla Nikawa Mzigo Kwao. Nilihitaji Msaada Kila Mara – Kulaa, Kula, Hata Kwenda Chooni. Endelea kusoma zaidi hapa

