NO Pressure! Malaika Cute Aliyekuwa Mke wa Ricordo Momo Azidi Kula Maisha

“NO PRESSURE!” MALAIKA CUTE AZIDI KULA MAISHA, APIGA PICHA ZA KISHUA! πŸ”₯✨

Aliyekuwa mke wa Ricardo Momo, mrembo Malaika Cute, ameendelea kutikisa mitandao ya kijamii baada ya kuachia picha na video zinazoonyesha akila maisha kwa kijiko kikubwa. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Malaika ameonekana akiwa na utulivu wa hali ya juu huku akisisitiza kauli yake ya “No Pressure.”

Kutoka kwenye safari za kifahari hadi mavazi ya gharama, Malaika anathibitisha kuwa amechagua furaha na amani ya moyo. Mashabiki wamezidi kumiminika kwenye ukurasa wake kusifia urembo wake na jinsi anavyopuuzia kelele za pembeni.

Unampa alama ngapi Malaika kwa muonekano huu wa sasa?

Related Posts