
Sean “Diddy” Combs ana ndege yake binafsi ya Gulfstream G550, yenye thamani ya karibu dola milioni 60 na iliyosajiliwa chini ya LoveAir LLC, sasa inakodishwa na Inajulikana kama “Combs Air,” ndege hiyo imeorodheshwa kwenye majukwaa ya kibinafsi ya anga kama vile Victor na Jettly, na safari za ndege za njia moja zinaripotiwa kugharimu hadi Dola 100,000.
Ndege hiyo inaendeshwa na Silver Air na imeshafanya kimya kimya zaidi safari 126 za kukodi tangu na kuingiza mapato ya zaidi ya $4 milioni ambayo ni kama bilioni 9.7 za kibongo
