Pichani ni Daktari mmoja kutoka India akiwa na familia yake wakichukua selfie ya mwisho kabla ya kuondoka kwenye aridhi ya India kwenda kuanza maisha mapya London. Dakika chache baada ya kupaa, ndege yao ilianguka na kuua karibu watu wote waliokuwemo — karibu watu 200.️

