Nature

Polisi Kuchunguza Tuhuma Zinazotolewa na Pole Pole, Atafutwa na Polisi Kutoa Ushahidi

Jeshi la Polisi limemwelekeza aliyekuwa Balozi wa Tanzania chini Cuba, Humphrey Polepole afike katika Ofisi ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) atoe maelezo na ushahidi kuhusiana na tuhuma ambazo amekuwa akizitoa kupitia mitandao ya kijamil.

Jeshi hilo limesema mbali na kukusanya ushahidi, limekuwa likifanya jitihada za kumpata ili aweze kutoa
maelezo na vielelezo vitakavyothibitisha tuhuma hizo
ili hatua za kisheria ziweze kuchukuliwa.

Related Posts