Skip to content
UDAKU SPECIAL

UDAKU SPECIAL

Habari za Udaku, Michezo na Siasa

  • Home
  • Gossip News
  • Sports News
  • Political News
  • Articles
  • Love Affairs
  • Music
  • Health
  • Contact us
  • Home
  • HABARI ZA MICHEZO
  • Rais wa Congo Amzawadia Gari Aina ya Jeep Shabiki Lumumba wa AFCON
HABARI ZA MICHEZO

Rais wa Congo Amzawadia Gari Aina ya Jeep Shabiki Lumumba wa AFCON

January 12, 2026January 12, 2026 ajirayako

Shabiki wa timu ya taifa ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Michel Kuka Mboladinga maarufu Lumumba, amezawadiwa gari aina ya Jeep na Rais wa nchi hiyo, Felix Tshisekedi, kwa kuitangaza nchi hiyo kwenye michuano ya AFCON 2025.

Lumumba alikuwa akisimama na kunyanyua mkono juu muda wote wa michezo ya timu hiyo, akiiga sanamu maarufu ya aliyekuwa Waziri Mkuu wa nchi hiyo, Patrice Lumumba.

Related Posts

HABARI ZA MICHEZO

Best Football Leagues in Africa | Ligi Bora Africa 2025/2026

March 26, 2026 Udaku Special
HABARI ZA MICHEZO

Djigui Diarra, Bissouma na Nyota Wengine Waachwa Kikosi cha Mali

March 26, 2026March 26, 2026 Udaku Special

Post navigation

Previous: Msichana Achorwa Alama Mwilini Asubuhi Bila Kujua Ilikotoka Dakika Alizozitaja Zawafanya Wengi Kuogopa
Next: Mtoto Aanza Kuongea Usiku Pekee Ndani ya Wiki Moja Familia Yagundua Siri Nzito ya Zamani

Popular Posts

  • Mbinu 5 za Kumfanya Mwanaume Ageuke Kuwa Sumaku Kwa Wanawake

  • Mbinu Nzuri Ya Kutongoza Kwa Wale Wanaoanza Kujifunza

  • Wastara Amlipua Vibaya Dudu Baya Baada ya Kumuita “Ombaomba” Amwambia haya mazito “uweke na namba”

  • Kazi ya Shanga Kiunoni Mwa Mwanamke

  • Hii Hapa Faida ya Makalio Makubwa Kwa Mwanamke

  • Basata Wamfungia Miaka Mitatu Mwanamuziki Halima wa Kibao Kata

All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.