Skip to content
UDAKU SPECIAL

UDAKU SPECIAL

Habari za Udaku, Michezo na Siasa

  • Home
  • Gossip News
  • Sports News
  • Political News
  • Articles
  • Love Affairs
  • Music
  • Health
  • Contact us
  • Home
  • HABARI ZA MICHEZO
  • Shaffih Sauda “Feisal Ndiye Kiungo Bora Kwa Sasa Nchini
HABARI ZA MICHEZO Sports News

Shaffih Sauda “Feisal Ndiye Kiungo Bora Kwa Sasa Nchini

July 28, 2025July 28, 2025 Udaku Special

Leo nna mzuka tu kuharibu biashara za watu , Anyway ipo hivi

1.Feisal ndiye kiungo bora kwa sasa Nchini hapo tukubaliane hakuna kabisa ubishi

2.Kuelekea msimu wa 2025/26 Feisal anastahili kuwa mchezaji anayelipwa pesa ndefu nchini , hapo pia hakuna ubishi

3.Watu wapo nje ya muda , Idara ya Habari imeambiwa iandae kabisa graphics za utambulisho hili pia halihitaji ubishi

Digala was here

Related Posts

HABARI ZA MICHEZO

Mwakinyo Akubali Mpambano na Kiduku, Ahaidi Kumtibu Macho

January 2, 2026January 2, 2026 ajirayako
HABARI ZA MICHEZO

Makocha Wanaolipwa Mkwanja Mrefu Mashindano ya AFCON

January 2, 2026January 2, 2026 ajirayako

Post navigation

Previous: Picha na Video hizi za Wananchi wa Gaza Wakitafuta Chakula zitakuliza, hali ni Mbaya Kuliko!
Next: Unaambiwa Kumbe Mama Fei Toto Kawafukuza Yanga…Kisa

Popular Posts

  • HARMONIZE na Paula Wamaliza tofauti zao wapeana MIKONO, Paula ndio muandaaji wa Shughuli Yote hii

  • HUZUNI Kubwa, Watu Wawili Waliofariki kwenye AJALI ya Anthony Joshua Kumbe ni Makocha na Marafiki zake

  • Taifa Stars Baada ya Kufuzu hatua ya 16 Bora ya AFCON itavuna Bilioni 1.9

  • TMA Yatoa Tahadhari ya Mvua Kubwa Mikoa 20

  • Chadema Wakusanya Milioni 14 Ndani ya Masaa 24 Kwa Ajili ya Tundu Lissu

  • Walichokifanya Yanga Baada ya Diarra Kuonesha Kiwango Bora AFCON

All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.