Simba Akishinda Anatangaza MATOKEO, Akifungwa Kimya Pre Season

Klabu ya Simba Sc imeibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya klabu ya Al Zulfi Fc inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza nchini Saudi Arabia kwenye mchezo wa kirafiki wa maandalizi ya msimu mpya wa 2025/26 huko Cairo, Egypt

FT: Simba Sc πŸ‡ΉπŸ‡Ώ 1-0 πŸ‡ΈπŸ‡¦ Al Zulfi

⚽ 24’ Ahoua

Related Posts