Skip to content
UDAKU SPECIAL

UDAKU SPECIAL

Habari za Udaku, Michezo na Siasa

  • Home
  • Gossip News
  • Sports News
  • Political News
  • Articles
  • Love Affairs
  • Music
  • Health
  • Contact us
  • Home
  • Sports Gossip
  • Simba Inaingia Kama Underdog Mechi ya Dabi Leo Dhidi ya Yanga
Sports Gossip

Simba Inaingia Kama Underdog Mechi ya Dabi Leo Dhidi ya Yanga

September 16, 2025September 16, 2025 Udaku Special

Klabu ya Yanga leo inaingia kifua mbele kuikabili Simba ambayo itaingia kama timu ya pili (underdog) kitakwimu kutokana na matokeo ya nyuma.

Yanga kwenye michezo mitano (5) ya mwisho ya mashindano rasmi mbele ya Simba imeshinda yote huku Simba ikiambulia patupu.

Katika michezo hiyo mitano (5) Yanga imefunga magoli 11, huku Simba ikifunga magoli mawili (2) pekee.

Makocha wa timu zote mbili hawajawahi kukutana, huu ndio utakuwa mchezo wao wa kwanza kukutana

Related Posts

Sports Gossip Sports News

Al Ahli Wanataka Fei Toto Kwa Udi na Uvumba, Watenga Bilioni 2

November 11, 2025November 11, 2025 ajirayako
Sports Gossip

TFF Wamemaliza Ubishi Huyu Jeanine si Kaka ni Dada wa Kazi

October 8, 2025October 8, 2025 Udaku Special

Post navigation

Previous: Tundu Lissu Aje na Ombi la Kesi Yake Kuoneshwa Live
Next: Beki Chadrack Boka Afunguka: Siko Tayari Kukaa Benchi

Popular Posts

  • Hizi Hapa Hesabu Konki za Yanga Kufuzu Robo Fainali Klabu Bingwa

  • Uhasama Usioisha: Kwanini Donald Trump anamchukia sana Barack Obama

  • Kesi ya Tundu Lissu Yapigwa Kalenda Mpaka February 11

  • Wekundu wa Msimbazi Simba Waumaliza Mwendo Ligi ya Mabingwa Afrika

  • Timu Zinazocheza Soka la Kuvutia Mashindano ya CAF Zatajwa

  • Tundu Lissu “Nimekaa Gerezani Siku 307, Kesi Imesikilizwa Siku 14 tu”

All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.