Nature
SIMBA Wamsajili Jonathan Sowah, Ateba Out

SIMBA Wamsajili Jonathan Sowah, Ateba Out

SIMBA Wamsajili Jonathan Sowah, Ateba Out

Kutoka ukurasa wa mchambuzi wa michezo Hans Rafael inasemekana kwamba ucku huu Simba wamekamilisha usajili wa mshambuliaji wa Singida Black stars Jonathan Sowah.

Simba wamemfuata sowah na project nzuri na kijana amekubali na dili limekamilika rasmi msimu ujao Sowah atavaa jezi ya mnyama.

Tutegemee kwa ujio wa Sowah, Simba itabidii wamuuze Ateba ambae ana ofa kubwa kutoka Morocco.

ATEBA OUT❌️

SOWAH IN ✅️

Related Posts

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *