
Klabu ya Simba Leo Novemba 20 imetangaza jezi mpya zitakazotumika katika hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa barani Afrika.
Jezi hizo ni jezi rasmi kwaajili ya Ligi ya Mabingwa barani Afrika tu na zitaanza kutumika siku ya jumapili Katika mechi ya kwanza ya hatua ya makundi dhidi ya Petro de Luanda ya Angola.



