Kuna sauti ambazo hazisahauliki. Sauti ya simu ikilia mahali pasipotegemewa inaweza kubadilisha maisha ndani ya sekunde chache. Hivyo ndivyo ilivyotokea kwa Brian wa Donholm, ambaye aliamua kufuatilia mashaka yake kimyakimya na kuishia kusikia simu ikilia ndani ya chumba cha gesti, ikifichua siri ya miaka miwili.
Brian na Lucy walikuwa katika uhusiano kwa zaidi ya miaka mitatu. Walikuwa wakipanga kufunga ndoa. Lakini kwa…SOMA ZAIDI
