TANZANIA ‘Taifa Stars’ imeanza vibaya michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2025), baada ya kufungwa mabao 2-1 na Nigeria ‘Super Eagles’ mchezo uliomalizika muda mfupi uliopita Uwanja wa Complexe Sportif de Fes nchini Morocco.