Timu ya Taifa ya Ivory Coast, ‘The Elephants’ imetinga robo ya Kombe la Mataifa Afrika, AFCON 2025 kufuatia ushindi wa 3-0 dhidi ya Burkina Faso kwenye hatua ya 16 bora.
The Elephants watachuana na mafarao, Misri kwenye hatua ya robo fainali
Ivory Coast 🇨🇮 3-0 🇧🇫 Burkina Faso
⚽ 20’ Amad
⚽ 33’ Diomande
⚽ 87’ Toure
