Nature

Timu ya Taifa ya Kenya, Harambee Stars Watolewa CHAN, Tatizo Kamdomo

Timu ya Taifa ya Kenya, Harambee Stars imesukumizwa nje ya michuano ya kombe la Mataifa Afrika kwa wachezaji wa ndani CHAN2024 kufuatia kipigo cha penalti 4-3 dhidi ya Madagascar kwenye mchezo wa robo fainali katika dimba la Moi Sports Centre, Kasarani.

FT: Kenya 🇰🇪 1-1 🇲🇬 Madagascar (P 3-4)
⚽ 48’ Omija
⚽ 69’ Razafimaro (P)

Related Posts