Timu Zinazocheza Soka la Kuvutia Mashindano ya CAF Zatajwa

Hizi hapa takwimu za timu zinazo cheza soka la kuvutia kwa kumiliki mpira (possession) kwenye CAF Champions League – Hatua ya Makundi ⚽🔥

Kumiliki mpira siyo kila kitu, lakini ni ishara ya udhibiti, falsafa na ujasiri wa kucheza 👌

🔝 Timu Zinazoongoza kwa Ball Possession:
🥇 Mamelodi Sundowns – 71.6%
🥈 Atlético Petróleos de Luanda – 59.4%
🥉 RS Berkane – 55.4%
4️⃣ AS FAR Rabat – 54.6%
5️⃣ Espérance Tunis – 54.0%
6️⃣ Simba SC – 53.8% 🇹🇿🦁

Soka la kuvutia linaishi 💫
Ni timu ipi imekuvutia zaidi kwa style ya uchezaji?

Related Posts