Maneno hayo bado yananikumbuka hadi leo. Siku ile nilisimamishwa mbele ya wafanyakazi wenzangu na kudhalilishwa bila huruma. Boss wangu alinifukuza kazi kwa kejeli na kunifanya nijione sifai kabisa. Niliondoka nikiwa sina hata nauli ya kurudi nyumbani. Ndoto zangu zote zilionekana kufa siku hiyo.
Miezi iliyofuata haikuwa rahisi. Nilijaribu kutafuta kazi nyingine bila mafanikio. Mahojiano yalikuwa mengi lakini majibu yalikuwa yale yale.
Niliishi kwa mawazo mengi na fedheha ya kufukuzwa ilinifuata kila mahali. Marafiki wengine walinicheka kimya kimya na wengine walinipa moyo lakini niliishi katika hali ya kukata tamaa. Soma zaidi hapa
