Nature

Ufafanuzi Sakata la Endorsement Kwa Wagombea wa Urais TFF

Orodha ya Wanaotoa uidhinishaji (endorsement) kwa wagombea TFF

  1. vyama vya soka vya mikoa FA
  2. klabu za Ligi Kuu
  3. Chama wa waamuzi Tanzania
  4. Chama cha makocha Tanzania
  5. Chama Cha Madaktari
  6. Chama cha wachezaji.

Kama haupo kwenye mzunguko wa mchezo wa mpira wa miguu kwa kuwa mwanafamilia ni ngumu sana kuwa na endorsement na hivi vyama.

Au kama haukuanza mchakoto mapema wa kujitengenezea mazingira ya kujiandaa kuelekea uchaguzi wa TFF.

Tayari mtia ni mmoja wa urais amelalamikia suala la kokosa endorsement.

NB: KUMEANZA KUCHANGAMKA

Related Posts

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *