
Video ikimuonyesha The African Giant Burna Boy akimptisha rapa na muimbaji wa Marekani Gunna kwenye gereji yake iliyojaa magari ya kifahari mwanzo mwisho.
Picha ya Burna Boy
Gunna alishangazwa kuona gereji hiyo ya Burna Boy iliyoja magari ya gharama zaidi ya 10 tofauti ikiwemo
McLaren Senna Carbon Fibre Edition, Ferrari Purosangue, Lamborghini, Rolls-Royce Cullinan, Ferrari 812 GTS, Mercedes-Maybach G63 and S650, Bentley Continental GT, Range Rover Autobiography.
Unaambiwa gari zote zilizopo na gereji yenyewe ina jumla ya gharam Dola Milioni 12 (Tsh Bilioni 31,290,000,000).
