Rais Samia Afanya Uteuzi wa viongozi Mbalimbali, RC Kenan Amrithi Makonda Arusha
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya
uhamisho na mabadiliko ya uteuzi wa viongozi mbalimbali. Viongozi
waliohamishwa na walioteuliwa ni kama ifuatavyo:-








