Nature

VIDEO: Mabasi ya Mwendokazi Yapigwa Mawe Magomeni

Mabasi yaendayo haraka (Mwendokasi) yameshambuliwa kwa mawe usiku huu(1/10/2025) katika eneo la magomeni jijini Dar es Salaam.

Inaelezwa kuwa sio mabasi tu hata vituo vya abiria wa magari hayo maarufu kama vituo vya mwendokasi vimeshabuliwa na vioo vimepasuliwa vya magari na vituo.

Video zimeenea katika mitandao ya kijamii zikionyesha hali ya vituo hivyo, hata hivyo sababu bado haijajulikana ya watu hao kushambulia vituo na magari hayo

Related Posts